• info@stjosephmoro.ac.tz

  • Call Us:+255 715 257 605 | +255 784 257 605

 TANGAZO

  Wanachuo wote waliopo likizo ya mwisho wa muhula ilioanza   nov 2019 na walioenda likizo fupi (middterm) Na kwa ajili ya sikukuu ya za x-mass na mwaka mpya, wanafunzi wa bweni  mnatakiwa kuwasili  chuoni tarehe  05/01/2020, masomo yataendelelea kama kawaida. kwa wanachuo wote wa bweni na kutwa tarehe 06/01/2020.  

  Wanachuo (Intake Sept 2019 ) ambao mmefanya mitihani ya mwisho wa muhula mwezi Dec 2019 na kwenda likizo ndefu mtaripoti chuo kuendelea na muhula mpya wa masomo  kama ratiba yenu inavyoelekeza  tarehe 20/01/2020.

 

MUHIMU :

 

1.   Mitihani maarumu na ya marudio (SPECIAL AND SUPPLIMENTARY) itafanyika

       kuanzia tarehe 13/01/2020. wale wote watakaohusika na mitihani hii wafike mapema

       kufanya taratibu husika kabla ya wiki la mitihani. adhabu kali itatolewa endapo hautafanya

       taratibu kwa wakati. mf:  kujisajili na kujaza form.

NB: Mwanachuo yeyote mwenye marimbikizo ya mitihani maarumu / ya marudio(SPECIAL

       / SUPPLIMENTARY) huko nyuma kwa sababu mbalimbali  uhakikishe unafanya

       mitihani yako yote kipindi hiki, vinginevyo utapoteza sifa nakuwa si mwanafunzi hai.

       (inactive student)

   

2.    Mwanachuo atakaechelewa wiki moja baada ya tarehe ya kufungua chuo hatapokelewa

       kuendelea na muhula mpya wa masomo.

 

3.    Hakikisha unakuja na ada isiyopungue Tshs 400000/= Au ada yote ya muhula yaani 

       Tshs 500000/=  vinginevyo hautapokelewa.

 

Mwisho :

 

MANEJIMENT YA CHUO INAWATAKIA  WANACHUO WOTE NA JAMII NZIMA YA S.T JOSEPH'S  COLLELEGE MOROGORO. KHERI YA MWAKA  MPYA  2020

 

IMETOLEWA NA

J. CHOTTA

MKURUGENZI WA MAFUNZO

27/12/2019

Address

Address :

MKUU WA CHUO,P.O.BOX 57,KIHONDA MIZANI- MOROGORO

Phone :

+255 715 257 605

Phone:

+255 0784 257 605

Email:

info@stjosephmoro.ac.tz