• info@stjosephmoro.ac.tz

  • Call Us:+255 715 257 605 | +255 0784 257 605

TANGAZO


 

 

ST. JOSEPH’S COLLEGE     

 

THE INSTITUTE OF BUSINESS AND MANAGEMENT

TANGAZO

 

 

 

Chuo kitafunguliwa 07/06/2021,

 

Wanachuo wote Mliopo likizo ndefu tangu mwezi May  2021 mnakumbshwa tarehe/siku ya kufungua chuo kama ilivyotajwa hapo juu, Pia mnakumbshwa  tarehe ya mitihani maarumu na ya marudio wiki moja mara baada ya kufungua chuo yaani tarehe 14-18 /06/2021.

 

 

MUHIMU :

 

 

 

 

1.      Wanafunzi wote wa bweni  mnatakiwa kuwasili  chuoni tarehe  06/06/2021 pia wa kutwa tarehe 07/06/2021. Usajiri utaanza tarehe O7-14/03/2021 na masomo yataanza mara moja. 

 

2.    Mitihani maarumu na ya marudio (SPECIAL AND SUPPLIMENTARY) itafanyika  kuanzia tarehe 14-18 /06/2021. Wale wote watakaohusika na mitihani hii wafike mapema kufanya taratibu husika kabla ya wiki la mitihani kuanza. Adhabu kali itatolewa endapo hautafanya taratibu kwa wakati. mf:  kujaza form na kujisajili

 

 3    Mwanachuo yeyote ambaye hakufanya mitihani au hakufauru baadhi ya masomo    katika mitihani iliyopita, hakikishe unafanya 
       mitihani yako yote kipindi hiki, vinginevyo utapoteza sifa kutokuwa mwanafunzi hai (inactive student ).

 

4.    Mwanachuo atakaechelewa wiki moja baada ya tarehe ya kufungua chuo hatapokelewa  kuendelea na muhula mpya wa masomo.

 

5.    Hakikisha unakuja na ada isiyopungua Tshs 400000/= Au ada yote ya muhula yaani  Tshs 500000/= vinginevyo hautapokelewa.

 

 

 

Mwisho :

 

Manejimenti ya chuo inawatakia  wanachuo wote maandalizi mema kurejea chuoni tayari kwa kuendendelea na mihula mipya ya masomo June 2021

 

 

 

 

 

 

 

imetolewa na

 

 

 

 

 

  

 

J.  CHOTTA

 

MKURUGENZI WA MAFUNZO

 

04/06/2021

 

 

 

 

 

 

 

Address

Address :

MKUU WA CHUO,P.O.BOX 57,KIHONDA MIZANI- MOROGORO

Phone :

+255 715 257 605

Phone:

+255 0784 257 605

Email:

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Visitors Counter

090952
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
70
225
1413
88826
2126
3801
90952
Your IP: 3.236.218.88
2021-10-17 06:37

ST.JOSEPH'S COLLEGE

ST. JOSEPH'S COLLEGE, The institute of business and Management is one among the best College in the Country. In this nearest day, this college appears as an academic institution which perfome different responsibilities as an academic institution.The College performs major three activities, daily Teaching Consultations Research